Kifaa cha kubusu kwa wenza walio mbali

Maelezo ya video, Mashine ya kubusu kwa wenza walio mbali
Kifaa cha kubusu kwa wenza walio mbali
Mabusu
Iliyochapishwa

Kifaa hiki si cha kawaida, kiliundwa wakati wa janga la cororna.

Mwanzilishi wa Kichina amevumbua mashine ya kubusu ya umbali mrefu ambayo inafanya kazi na simu yako.

Inasambaza "data ya busu" ya mtu - iliyokusanywa kupitia vitambuzi vya mwendo vilivyofichwa kwenye midomo ya silicon inayofanana na uhalisia, ambayo pia husogea unapopokea busu.

Lakini je, itaendelea na je, huu ndio mustakabali wa kuchumbiana?