Katika eneo la tukio la vifo vya dhehebu tata la Kenya
Katika eneo la tukio la vifo vya dhehebu tata la Kenya

Iliyochapishwa
Miili ya watu zaidi ya 90 imepatikana katika msitu wa Shakahola mashariki mwa Kenya. Wahanga wanadhaniwa kuwa ni wafuasi wa dhehebu tata la kidini walioshawishiwa kufunga hadi kufa, ili kukutana na Yesu.
Mwandishi wa BBC Afrika Dorcas Wangira anaelezea ni nini kimekuwa kikiendelea katika eneo la tukio la uhalifu.



