Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Tazama: Makombora ya Hezbollah yashambulia maeneo ya makazi ya Israel
Tazama: Makombora ya Hezbollah yashambulia maeneo ya makazi ya Israel
Iliyochapishwa
Hezbollah ilirusha msururu wa maroketi kutoka Lebanon usiku kucha, na kutua ndani zaidi ya Israel kuliko mashambulizi ya awali.
Majengo ya makazi huko Kiryat Bialik yamechomwa moto na baadhi ya watu kujeruhiwa. Vikosi vya uokoaji vilifika eneo la tukio kuwatibu majeruhi, huku vikosi vya usalama vya Israel vikizingira eneo hilo.