Waislamu wa madhehebu ya Answar Sunnah washeherekea Eid Tanzania

Maelezo ya video,
Waislamu wa madhehebu ya Answar Sunnah washeherekea Eid Tanzania
Iliyochapishwa

Nchini Tanzania, wakati Waislamu wengi bado wanatazamia kusheherekea siku kuu ya Eid Ul-Fitr kesho, madhehebu ya Answar Sunnah leo wameendelea na sherehe hizo.

Akiwa Kigoma, magharibi mwa Tanzania, Eagan Salla alituandalia taarifa hii.