Wanaharakati wahimiza maandamano kupinga gharama za chakula Kenya

Maelezo ya video, Wanaharakati Kenya wahimiza maandamano kushinikiza serikali kushughulikia gharama za chaku
Wanaharakati wahimiza maandamano kupinga gharama za chakula Kenya
Iliyochapishwa

Wanaharakati nchini Kenya wamehimiza maandamano zaidi kushinikiza serikali ya taifa hilo kushughulikia gharama kubwa za chakula.

Makundi mbalimbali ya wanaharakati yameazimia kuwa na maandamano makubwa zaidi jumalijalo ya watu zaidi ya 1000.

Bei ya unga wa mahindi imepanda na kufikia karibu dola mbili kiwango ambacho Wakenya wengi hawawezi kumudu.