'Mimi nilizaliwa kabla ya wakati na nipo hai mpaka leo'
'Mimi nilizaliwa kabla ya wakati na nipo hai mpaka leo'
Iliyochapishwa
Doris Mollel, ni mrembo aliyewahi kushiriki shindano la Miss Tanzania miaka ya nyuma, anasema aliamua kusaidia watoto njiti kuishi kwa kutoa elimu, vifaa na kuleta mabadiliko ya kisera kwa sababu hata yeye alizaliwa kabla ya wakati Anasema mpaka sasa ameshasaidia watoto njiti zaidi ya 15,000 Video: Frank Mavura.



