Tazama jinsi wafuasi wa rais wa zamani wa Brazil wakivamia jengo la mahakama kuu nchini humo
Iliyochapishwa
Wafuasi wa rais wa zamani wa Brazil Jair Bolsonaro walivamia jengo la bunge, Mahakama kuu na makazi ya rais. Video hii inaonyesha wafuasi wa Bolsonaro wakivamia jengo la mahakama.