Mfuga mende: Jamii ilifikiri nilikuwa na kichaa
Iliyochapishwa
Fundi seremala kutoka Tanzania, aliyeanzisha namna mpya ya kilimo isiyo ya kawaida ufugaji mende.
Biashara yake imepata mafanikio nchini China na sehemu nyinginezo za ulimwengu ambapo aina fulani za mende huchukuliwa kuwa kitamu kwa kuliwa. Lakini imezua tafrani katika jamii yake.