Zanzibar: Sio ruhusa kula hadharani wakati wa kufunga Ramadhan
Iliyochapishwa
Kipindi cha mfungo wa Ramadhan visiwani Zanzibar ipo miongozo ya kidini na sheria za kiserikali zinazoelekeza wazi kuhusiana marufuku ya kula chakula hadharani wakati wa kufunga.
Hata hivyo pamoja na maeneo ya kuuza vyakula kufungwa..lakini bado chakula kinapatikana kwa wingi katika mida ambayo inakubalika yaani mida ya kufuturu.
Mwandishi wa BBC Esther Namuhisa alitembelea visiwani humo na kutuandalia taarifa ifuatayo:
Video Eagan Salla