Bidhaa kutoka Afrika zinazouzwa nje zimeathiri wakulima na wauzaji
Iliyochapishwa
Athari za kiuchumi za Urusi kuivamia kivita Ukraine zimeshuhudiwa ulimwenguni kote ikiwemo hapa Barani Afrika.
Urusi na Ukraine ndio wauzaji wakubwa wa ngano na mahindi duniani- asilimia arubaini, ambayo huletwa Afrika.
Ongezeko la gharama ya vyakula na mfumko wa bei na bidhaa pamoja na hali mbaya mno ya ukame, imeshuhudiwa katika miongo kadhaa, na ikitatiza mataifa ya Afrika.
Bidhaa pia kutoka Afrika zinazouzwa nje pia zimeathirika huku wakulima na wauzaji wakishindwa kuyauza mazao yao katika masoko ya Urusi na Ukraine.
Emmanuel Igunza ana mengi zaidi kutoka Kenya.