Je unafahamu kuwa ni marufuku kwa polisi ambaye hajaolewa kubeba mimba nchini Nigeria?
Iliyochapishwa
Mahakama Kuu nchini Nigeria imedumisha uamuzi wa kikosi cha polisi kumfuta kazi afisa wa polisi wa kike ambaye alipata ujauzito nje ya ndoa mwaka jana.