Jinsi watumishi wa kidini wanavyovuma TikTok

Maelezo ya video, Namna ambavyo dini inaenezwa mitandaoni
Iliyochapishwa

Kasi ya watumishi wa dini mtandaoni imeongezeka kuanzia kwa watawa mpaka imamu.

Lakini lengo lao ni nini haswa?