Mabadiliko ya tabia nchi yanavyowagawa wenye nacho na wasio nacho
Iliyochapishwa
Utafiti mpya unasema watoto wanaozaliwa katika nchi ambazo zina kipato cha juu watapata athari za mabadiliko ya tabia nchi mara mbili zaidi ya mababu zao wakati watoto waliozaliwa katika nchi za kipato cha chini watakabiliwa na athari za mabadiliko ya tabia nchi mara tatu- na mara nane wakati joto litakapozidi.
BBC imeangalia namna ambavyo mabadiliko ya tabia nchi yanavyoathiri usawa

