Udaga: Chakula kinachopendwa na jamii ya Wasukuma Tanzania

Iliyochapishwa

Ugali wa udaga ni moja kati ya vyakula vinavyopewa heshima ya namna yake kwenye jamii ya Wasukuma nchini Tanzania.

Udaga ni mchanganyiko wa unga wa mahindi na muhogo ambao huwa na ladha ya aina yake ukiliwa na mboga za asili kama vile kibambala na mlenda.

Taarifa na Eagan Salla.