Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Nyota wa Afrika Mashariki: John Bocco na siri ya Simba kuchukua ubingwa mara 4 mfululizo
Iliyochapishwa
Nahodha wa klabu ya Simba ya Tanzania John Bocco ndiyo nyota wetu wa Afrika Mashariki kwa wiki hii, ameongoza katika orodha ya washambuliaji wenye magoli mengi katika ligi iliyoisha hivi karibuni nchini humo. Huu ulikuwa ni msimu wake wa nne na Simba na ubingwa wake wa nne akiwa na klabu hiyo. Je, Simbaimeyapataje mafaniko hayo? Tazama majibu yake: