Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Sala ya Eid al-Adha zaendelea wakati makombora yakipigwa Afghanistan
Iliyochapishwa
Huu ni wakati ambao makombora yalikuwa yanapigwa katika mji wa Kabul nchini Afghanstan, karibu na Ikulu ya rais wakati wa sala za sherehe za Eid al-Adha.
Licha ya makombora hayo, rais Ashraf Ghani na wakuu wengine wakiendelea na sala wakati wa matangazo ya moja kwa moja ya runinga.
Shambulio hilo limetokea wakati ambao taifa hili liliondoa majeshi ya kigeni baada ya miaka 20.
Serikali ya Taliban imekanusha kuhusika na matukio hayo.