Unawezaje kukabiliana na ongezeko la gharama za bidhaa wakati huu wa Ramadhani

Iliyochapishwa

Waumini wa kiislamu wanaadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhan wakati baadhi ya maeneo yanakabiliwa na uchumi mgumu kutokana na athari ya Covid19.

Bei za bidhaa zimepanda na gharama ya maisha imeongezeka.

Swali kuu ni je vipi unaweza kuendelea kufunga Ramadhan pasi mfuko wako kuumia?

Mwandishi wa BBC Roncliffe Odit anatueleza zaidi: