Zanzibar ndio eneo pekee linalovutia mamia ya watalii wakati huu wa janga la corona

Maelezo ya video, Soko jipya la utalii Zanzibar laibuka baada ya marufuku ya kutoka nje
Iliyochapishwa

Baada ya maeneo mengi ya mapumziko kufungwa duniani kote kutokana na janga la corona ,kisiwa cha bahari ya hindi, Zanzibar imeanza kuvutia soko jipya la utalii na mamia ya watalii wakiingia kisiwani humo.

Mwandishi wa BBC, Salim Kikeke alitembelea eneo hilo...