Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Uchaguzi Uganda 2021:Mgombea mdogo zaidi wa urais Uganda asisitiza uwekezaji
Iliyochapishwa
John Katumba ndio mgombea nafasi ya Urais mwenye umri mdogo zaidi kuwahi kutokea nchini Uganda
Amejitosa kuwania nafasi hiyo akiwa na umri wa miaka 24 tu.
Anasema kuwa sera yake kubwa ni kuunganisha Afrika kuwa kitu kimoja.
'' Tumefungwa mikono na miguu kisha wanataka tupambane na mtu anaetumia ndege".