Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Uchaguzi Uganda 2021:Mambo matano unayopaswa kufahamu kuhusu uchaguzi huu
Iliyochapishwa
Raia wa Uganda watapiga kura tarehe 14 Januari, mwaka 2021.
Wagombea wawili wakiwa wanaongoza mpaka sasa ni Yoweri Museveni na mpinzani wake Bobi Wine.
Rais Museveni amekuwa madarakani kwa miaka 35.
Aliyekuwa mwanamuziki Robert Kyagulani, ambaye anafahamika kama Bobi Wine, ameungwa mkono na idadi kubwa ya vijana lakini kampeni zake zilipata misukosuko kutokana na masharti dhidi ya corona.
Haya ndio mambo matano unayopaswa kuyafahamu kuhusu uchaguzi huu: