Uchaguzi wa Uganda 2021: Vijana wa Afrika mashariki wana maoni gani?
Iliyochapishwa
Ikiwa zimesalia siku nne kabla ya uchaguzi mkuu nchini Uganda ambao hata hivyo kwa mwaka huu idadi kubwa ni vijana wakiwa ni zaidi ya asilimia 70 ya wapiga kura wote.
Lakini bado vijana hawana nafasi kubwa ya kujihusisha na nafasi ya uongozi.

