Mfahamu Padre wa kwanza wa tabaka la chini India

Maelezo ya video, Mfahamu Padre wa kwanza wa tabaka la chini India
Iliyochapishwa

Kwa miongo kadhaa nchini India, watu wa tabaka la juu ndio pekee walikuwa wanaruhusiwa kuwa watumishi wa Mungu.

Lakini baada ya marekebisho yaliyotolewa na mamlaka kukomesha utofauti huo, Marichamy alikuwa mwanaume wa kwanza kutoka tabaka la chini kuwa padre.

Ana matumaini wengine watafuata nyayo zake ingawa kuna hofu ya kuchaguliwa kwa mwingine katika jamii hiyo.