Kwanini Pengwini hawa wanaenda sinema?

Maelezo ya video, Kwanini Pengwini hawa wanaenda sinema
Iliyochapishwa

Pingwini hawa kutoka majimbo ya Chicago na Illinois nchini Marekani huzuru maeneo yasio ya kawaida katika miji tofauti, kama vile sineama, makumbusho ya sanaa na viwanja vya mpira. Huenda ni jambo la kushangaza, lakini kuna sababu nzuri inayowafanya kufanya.