Diamond Platinumz:Tangu utotoni Koffi Olomide ndio msanii wangu bora

Maelezo ya sauti, Diamond Platinumz:Tangu nikiwa mdogo navutiwa na muziki wa Koffee Olomide
Iliyochapishwa

Mwanamuziki maarufu nchini Tanzania Diamond Platinumz ameachia kibao kipya alichomshirikisha mwanamuziki nguli kutoka Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo Koffi Olomide kinachojulikna kama Waah!!!

Hamida abubakar Amezungumza nae kutaka kufahamu kwanini aliamua kufanya ushirikiano na msanii huyo.

Miongoni mwa wasanii ambao wameshirikiana na diamond kimziki ni pamoja na Innoss B,Fally Ipupa na ya Levis