Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Tembo aliyeanguka kisimani alivyookolewa
Iliyochapishwa
Tembo mwenye umri wa miaka 25 ameokolewa baada ya kuanguka ndani ya kisima cha kina kirefu nchini India. Mkulima mmoja alimsikia tembo huyo ''akilia'' na kutafuta usaidizi.
Tazama jitihada za kumtoa kwenye kisima hicho iliyochukuwa saa 14 ilivyofanyika.