Matokeo ya Uchaguzi Marekani 2020: Kwanini kijiji hiki cha India kinajivunia ushindi wa Kamala?

Maelezo ya video, Kwanini kijiji hiki cha India kinajivuia ushindi wa Kamala?
Iliyochapishwa

Eneo ambalo bibi mzaa mama wa Kamala Harris alizaliwa wanasheherekea ushindi wa uchaguzi wa Marekani.

Maombi yametolewa katika maeneo mbalimbali ya ibada mjini hapo , matangazo ya barabarani yakiwa na picha za Harris.

Harris amekuwa mwanamke wa kwanza Mmarekani mweusi mwenye asili ya Asia pia kuchaguliwa kuwa makamu wa rais katika historia ya Marekani.