Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
BBC Africa Eye: Jinsi Waafrika wanavyolengwa na ulaghai wa biashara ya mtandaoni
Iliyochapishwa
Biashara ya mtandaoni Crowd1 inayotoa bidhaa kwa wanachama wake, ikiwa na madai kuwa unaweza kuwa tajiri kwa haraka zaidi pale unapouza bidhaa zake kwa wengine.
Lakini uchunguzi wa BBC Africa Eye umeweza kubaini utapeli ulioko kwenye kampuni hizo ambazo ziko Ulaya.
Kampuni hizo zinafanya kazi kwa kutumia mitandao ya kijamii, kutapeli watu duniani kote. Ayanda Charlie anaripoti kutoka Afrika Kusini.