Virusi vya corona:Kenya yaweka masharti mapya baada ya maambukizi ya corona kupanda

Iliyochapishwa

Rais Uhuru Kenyatta ametangaza masharti mapya dhidi ya kujikinga na virusi vya corona kufuatia ongezeko kubwa la maambukizi.

Huku baadhi ya maeneo ya nchi hiyo yakianza kufungwa kuzuia maambukizi ya virusi vya corona.