Nusu ya Wamarekani wanaweza kupiga kura lakini ni wachache watakaoamua nani awe rais?

Maelezo ya video, Nusu ya Wamarekani wanaweza kupiga kura lakini ni wachache watakaoamua nani awe rais
Iliyochapishwa

Zaidi ya Wamarekani milioni 245 wana vigezo vya kupiga kura -lakini ni asilimia ndogo tu inaweza kuamua nani atakuwa rais wa Marekani.

Ni kina nani hao na wanaishi wapi?