Shughuli za utalii 'Mlima Kilimanjaro' zinaendelea

Maelezo ya video, Shughuli za utalii Mlima Kilimanjaro zinaendelea
Iliyochapishwa

Mamlaka ya wanyapori nchini Tanzania imetoa rai kwa wenyeji na wageni kuondoa hofu na kuendelea na shughuli za utalii kama kawaida kwenye hifadhi ya Mlima Kilimanjaro, kwani tahadhari imeshachukuliwa.