Uchaguzi wa Marekani 2020: Je matokeo ya kura za maoni yanaweza kuaminiwa?

Iliyochapishwa

Dunia yote ikiwa inafuatilia kwa ukaribu uchaguzi wa rais wa Marekani ili kuona nani ataibuka kuwa mshinda wa uchaguzi mwaka huu.

Ikiwa mwaka 2016, makampuni ya kusimamia upigaji kura yalishangazwa na matokeo baada ya Trump kumshinda Hillary Clinton wakati kura za maoni zilimuoyesha bi.Clinton kuongoza.

Lakini ,Je Trump ataweza kuchukua nafasi hiyo kwa mara nyingine tena?