Msanii wa Congo anayetumia misumari katika kazi zake

Iliyochapishwa

Nani angeweza kufikiria kwamba kazi hii ya Sanaa imetengenezwa kwa misumari? Dina Ekanga ni msanii wa Congo ambaye anafanyakazi ya sanaa kwa kutumia misumari lakini cha kufurahisha zaidi ni ubora wa kazi zake. Anasema kila msumari unaashiria “machungu ya maisha“.