Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Jinsi mitandao ya kijamii inavyotumika kuuza dawa za kulevya
Iliyochapishwa
Utafiti unaonesha kwamba mmoja kati ya kila vijana wanne sasa hivi huona matangaza ya uuzaji wa dawa za kulevya kupitia mitandao ya kijamii. Polisi imesema kampuni za mitandao ya kijamii ingeongeza juhudi zaidi ikiwa watoto wao ndio wangekuwa wanakufa kutokana na matumizi ya dawa kulevya.