Uchaguzi Tanzania 2020: Tundu Lissu alakiwa kwa kuitwa 'Rais'

Maelezo ya video, Tundu Lissu alakiwa kwa kuitwa 'Rais'
Iliyochapishwa

Mwanasiasa wa upinzani Tanzania, Tundu Lissu amerejea nyumbani na kulakiwa na mamia ya wafuasi wake katika jiji la kibiashara la Dar es Salaam, karibu miaka mitatu tangu anusurike na jaribio la mauaji.