Akina mama waandamana dhidi ya wanajeshi wenye silaha Marekani

Maelezo ya video, Akina mama na waandamanaji walio utupu Marekani
Iliyochapishwa

Waandamanaji huko Portland, Oregon wanasema wanashambuliwa kinyume na sheria na wanajeshi wenye silaha.

Wanahoji, Kwa nini wanajeshi hawa wametumwa na rais Trump?