Virusi vya corona: Je, wanafunzi wapo salama dhidi ya corona?

Maelezo ya video, Virusi vya corona:Shule zinafunguliwa duniani kote, Je watoto watakuwa salama?
Iliyochapishwa

Kufuatia kulegezwa kwa marufuku za kutotoka nje kuzuia maambukizi ya corona, shule katika maeneo mbalimbali duniani zimeanza kufunguliwa.Lakini je, usalama wa watoto dhidi ya maambukizi upo?