Uchaguzi wa Tanzania 2020: 'Zanzibar msinichagulie kiongozi wa kusema shikamoo'

Iliyochapishwa

Rais wa Tanzania John Magufuli ameidhinishwa rasmi kuwa mgombea urais wa Chama CCM katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.