Virusi vya corona: Dereva bajaji wanaotoa mafunzo ya Corona nchini Tanzania
Iliyochapishwa
Janga la Corona limesababisha mashirika mengi kuja na njia za ubunifu kufikisha ujumbe wa kulijinda na Corona kwa wananchi.
Shirika la kujitolea la VSO limekua likitoa mafunzo kwa madereva bajaji mkoni Mtwara kusini mwa Tanzania katika kusaidia kufikisha ujumbe wa kujilindana Corona kwa wakazi wa eneo hilo.
Juma Swaleh ni mmoja wa madereva hao.