Virusi vya Corona: Kwa nini ni muhimu kupima virusi vya corona?

Maelezo ya video, Virusi vya Corona: Kwa nini ni muhimu kupima?
Iliyochapishwa

Kila nchi imeonekana ikikabiliana na mlipuko wa virusi vya corona kwa namna yake na pengine kuwa tofauti na wengine.

Lakini yawezekana kuwa suala la kila mtu kupima virusi vya corona ni muhimu na kila nchi inapaswa kuzingatia hilo.

Angalia video hii na ufahamu zaidi.