Virusi vya corona: Jinsi ya kukaa mbali na mwenzako uwapo kazini
Iliyochapishwa
Watu wameshauriwa kuwa umbali wa mita mbili ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona.
Lakini yawezekana kuwa ni jambo gumu sana kutambua kuwa upo umbali wa mita mbili na mwingine.
Unawezaje kukaa umbali wa mita moja au mbili uwapo kazini?