Netflix yarekodi watumizi maradufu ya ilivyotarajia

Maelezo ya sauti, Netflix yarekodi watumizi maradufu ya ilivyotarajia
Iliyochapishwa

Huku kampuni nyingi zikifungwa na kupata hasara ya mamilioni, Netflix imerekodi ongezeko la watumizi wa mtandao huo mara dufu kwa miezi mitatu iliyopita....Huku marufuku ya kutotoka nje ikishuhudiwa maeneo mengi duniani, Netflix imepata watumizi wapya milioni kumi na tano ikilinganishwa na lengo waliloweka la milioni saba