Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Ed O’Brien azindua Albamu yake kwa jina 'Earth'
Iliyochapishwa
Ikiwa dunia nzima inaendelea kupambana na janga la virusi vya Corona Mmoja wa wanabendi wa kundi la mziki maarufu la Radiohead, Ed O'Brien amechukua hatua muhimu ya kutoa kibao chake cha kwanza kwa jina "Earth". Anazungumzia jinsi janga hili lilivyobadilisha sekta ya muziki kwa njia kubwa.