Je, mtandao wa video wa TikTok unaongeza umaarufu wa nyimbo?

Maelezo ya sauti, Je, mtandao wa video wa TikTok unaongeza umaarufu wa nyimbo?
Iliyochapishwa

Wimbo wa Old Town Road wa Lil Nas X na Monkey Dance wa Toni and I zote zimeingia katika safu kuu 10 za chati rasmi nchini Uingereza mwaka jana.Na nyimbo hizi mbili pia ndizo zilizotumiwa sana kwenye video za mtandao wa TikTok mwaka wa 2019 .Huku wasanii zaidi na zaidi wakijihusisha na TikTok, Je! Programu hii ya video ya ndiyo inayosababisha ya nyimbo zingine kuwa maarufu?