Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Maharusi wakamatwa kwa kukiuka sheria ya kutotoka nje
Iliyochapishwa
Polisi nchini Afrika Kusini wamemkamata bwana harusi bi harusi, kuhani, na wageni 40 ambao walivunja sheria za kutotoka nje za nchi hiyo na kufanya harusi katika mkoa wa KwaZulu Natal. Video kwenye kituo cha habari cha eNCA inamuonyesha bi arusi akiwa nyuma ya gari la polisi akiwa amevalia gauni lake la harusi na nyavu.