Coronavirus: Wasanii waungana kupambana dhidi Covid-19

Maelezo ya video, Coronavirus: Wasanii waungana kupambana dhidi Covid-19
Iliyochapishwa

Kim Kardashian, Naomi Campbell, Arnold Schwarzenegger na wasanii wengine wamejitokeza kwenye mitandao ya kijamii kutoa kutoa muongozo wa namna ya kujikinga na coronavirus.

Wasanii wametumia muongozo wa shirika la afya duniani kuwahamasisha watu kuosha mikono na kuepuka kusalimiana kwa mikono.