Je Scleroderma ni ugonjwa gani?

Maelezo ya sauti, Fahamu ugonjwa wa Scleroderma uko vipi?
Iliyochapishwa

Scleroderma ni ugonjwa wa muda mrefu ambao huathiri ngozi ya mtu , tishu zinazohusika, na viungo vya ndani ya binadamu huathirika .

Ngozi ya mtu huanza kuwa nene na ngumu mno , Scleroderma sio ugonjwa wa kuambukizwa au kuambukiza, ikimaanisha kuwa huwezi kuipata kutoka kwa watu wengine.