Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Chadema walalamikia hukumu dhidi ya viongozi wao
Iliyochapishwa
Mahakama ya Tanzania iliwakuta hatiani viongozi tisa wa kisiasa, nane kutoka Chadema na mmoja aliyehamia CCM, kuwa na makosa 12 ikiwemo la kufanya maandamano.
Viongozi hao walipewa adhabu ya kulipa kiasi cha milioni 350 za kitanzania (ambazo sawa $150,000) au kwenda jela miezi mitano.
Swali linakuja ni ;Je, hukumu hii imetenda haki katika uwiano wa faini na kifungo?