Video inayoonesha mtoto wa miaka 6 akikamatwa shuleni
Iliyochapishwa
Mtoto aliyekamatwa na polisi mwezi Septemba 2019,mjini Florida. Video ya tukio la kukamatwa kwake yaonekana Februari 25.
Familia yake wataka BBC , kuonesha Umma video ya tukio hilo.
Angalizo;Video ina sehemu ya picha za kuogofya.