Mwanamziki Lil Wayne asema ana asili ya Nigeria, je unakubalina naye?
Iliyochapishwa
Rapa - Lil Wayne - amewafurahisha raia wa Nigeria sana baada ya kutangaza kuwa amebaini rasmi kuwa ana uasilia 53 wa Nigeria .
Mwenyekiti wa kamisheni ya Wanigeria wanaoishi ng’ambo bwana Abike Dabiri hata amemuita Lil Wayne ndugu yake na kusema kuwa anahamu ya kumkaribisha Nigeria.
