Tazama jinsi hospitali hii ilivyojengwa ndani ya siku 10 ili kuwashughulikia waathiriwa wa virusi vya Corona China

Maelezo ya video, Virusi vya Corona: Hospitali iliyojengwa ndani ya siku 10
Iliyochapishwa

Hospitali yenye uwezo wa kupokea wagonjwa 1,000 imejengwa mjini Wuhan ili kukabiliana na mlipuko wa virusi vya corona.

Kwa mujibu wa mamlaka ya China, ujenzi ulianza tarehe 24 Januari na mgonjwa wa kwanza amewasili Februari 3.